FG PRODUCTION HEADER Animation

Monday, July 14, 2014

FREESTYLE SHOOT

 Kufanya Set ilichukua kama masaa mawili hivi
Then our Model Lulu akaja kwenye Set!
 Red Carpet was ready,lighting was fantastic.
 Camera,Pictures and Directors wote walikuwa poa
     Dolly Shots was amazing look the tvc at the end

  Extras and models walifanya vizuri sana


Wednesday, June 19, 2013

AMANI YETU

Habari wadau wa Fg blog Hali kama hii tumezoea kuona huko Syria na kwingineko duniani.Napenda kuchua fursa hii kuwaomba watanzania wote,
wale wanaoitakia mema na hata wasioitakia mema nchi yetu nzuri ya TanzaniaTuachieni Amani na Upendo wetu jamani.Amani tuliyonayo si kitu
cha kuchezea hata kidogo sisi sote ni watanzania.Fikiria mara mbili Amani hii ikitoweka.

WAKURUGENZI WA BELI

Habari wadau wa blog ya FG si vibaya kufahamu kuwa Mkurugenzi wa FG Production pia ndiye mwanzilishi wa Beli Foundation.Shirika linalojiusisha na
masuala ya lishe.Katika picha hii ni watatu kutoka kulia.

Tuesday, January 1, 2013

SALAM ZA NEEMA,HERI NA BARAKA KWA MWAKA 2013

    Mkurugenzi wa kampuni ya FG Production Ltd alipokuwa nchini South Africa kwa mapumziko ya
    mwaka-Anapenda kuwatakiwa Salaam za Neema,Heri na Baraka kwa Mwaka 2013
   Hapa Mkurugenzi wa FG Production Ltd 

Friday, July 6, 2012

FG WALIPOKUWA WAKIYACHUNGUZA MAANDIKO

                                  Siku ya Ufunguzi Kikosi maalum cha Vijana wa Kisabato

                                                         JVC IKIWA KAZINI

                              DOP, ELLIUDE AKIWA ANAANGALIA FOCUS KAMA IKO SAWA

                           SWITCHER IKIWA CHINI YA MD MWENYEWE,KAIZARI              PICHA ZOTE ZIKO SAWA WACHA TUYACHUNGUZE MAANDIKO

                                JOSEPHAT EVARIST, JEMBE LA FG PRODUCTION

                          HAPA ANAAKIKISHA ANAPATA SHOTS ZA UHAKIKA

             WENGI WALIKUWA WANASHANGAA SHOTS ZA HII KITU HAPA....            DOGO ANGALIA KAMERA HIYO MAJI YA CHUMVI HAYO!OOOOH...                   NIKAMA "DENIS ANAMWAMBIA KAIZARI  MIMI WACHA NIKA
    EDIT SAA YA FARAJA       MIKUTANO HII YA MWAYACHUNGUZA MAANDIKO ILIFANIKIWA SANA

                           BIAFRA YOTE ILIFUNIKWA,KIVULI MTINDO MMOJA.


              JOSEPHAT"A.K.A DENIS JEMBE LISILOTULIA KUTAFUTA SHOTS

                                                             FULL LIVE COVERAGETuesday, April 10, 2012

PIGO KWETU WATU WA PRODUCTION

MSIBA MZITO NA PIGO KUBWA KWETU

NAPENDA KUCHUKIA FURSA HII KUWAPA POLE,WADAU WOTE WA BONGO MOVIE. KWA PIGO KUBWA LA MSIBA, KUONDOKEWA NA MPENDWA WETU STEVEN C. KANUMBA. MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEPONI,AMEN. KAMA MKURUGENZI WA
FG PRODUCTION LTD HILI LA KIFO CHA KANUMBA LIMETUUZUNISHA SANA HASA WAKATI HUU WA KUELEKEA MAPINDUZI YA FILAMU ZA KIBONGO HAPA TANZANIA.

MAREHEMU KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE


                KAZI ZAKO TUNAZIJUA NA MCHNAGO WAKO UNATUPA CHANGAMOTO    
                MPYA KATIKA UFANYAJI KAZI WETU WA KILA SIKU

          REST IN PEACE BROTHER 
     STEVEN C. KANUMBA